tanzania jobs

MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO TANESCO ULIOFANYIKA TAREHE 20-06-2020

SERIKALI.TZ

Wasailiwa wanatakiwa kuzingatia muda na sehemu ya kufanyia usaili kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.

  • Kwa wasailiwa wanaofanya usaili wa Vitendo (PRACTICAL) wanatakiwa kunakili namba zao za usaili kutoka kwenye Account zao (Sehemu ya My Application) na kuja nazo, kwa kuwa namba hizo hazitatolewa siku ya usaili huo.
  • Wasailiwa wote wanatakiwa kufika wakiwa wamevaa Barakoa (MASK)
  • Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificate)

Newsletter Updates

Enter your email address below to subscribe to our newsletter

Search For Jobs offers in Tanzania